Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video]

 • Chege latest song #Wafoo ► bit.ly/Wafoo
  Chege latest song #Runtown ► bit.ly/2wt5I6n
  Chege Latest Song - Najiuliza ► bit.ly/2trRhuJ
  To download from iTunes click here — goo.gl/2c7sem
  Click here to play the full audio on Spotify — goo.gl/v2Kt9Z
  Watch and share new music video "GO DOWN" by Tanzania bongo flava artists Chege & Mh.Temba featuring artist Emmy Wimbo,Directed by Kwetu Studios | Audio Produced by Ambrose Dunga,Masai On the Beat and B Skills [JIKONI STUDIOS].
  Song Lyrics:
  Intro
  Onana onana nana
  Onana onana
  macho yanaita macho macho yanaita
  Onana onana nana
  Onana onana
  macho yanaita macho macho yanaita
  Onana onana nana
  Onana onana
  macho yanaita macho macho yanaita
  Chorus
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Verse - Chege
  Once upon time once upon rhyme
  Nakumbuka Marry alikusumbua
  Once upon time once upon rhyme
  Ulijitahidi sana bado ukachengua
  Umekumbwa na jini gani
  Mbona mami hautuelewani
  Hata jini kisilani sio kama wewe
  Wala jini Makata Hakufikii wewe
  Kosa langu kukuweka ndani
  Haijulikani ndani mwanaume nani
  Kila siku vituko tu
  Mara moja moja babe unajiweka down
  Chorus
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Verse - Temba and Chege
  Kwanza sema na moyo wako
  Usilingie uzuri wako
  Kuna kupandaga mami na kushuka
  Tupendane forever mpaka kufa
  Usiku nikipita twitter
  Mami nakukuta twitter
  Nikisema nikucheki insta
  Nakuta ushapost picha
  Pesa zisikupe uchizi
  Kibuli na kutudhalau
  Wale tulokupa shavu sasa unatudhalau
  Chorus
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Emmy Wimbo ,Chege and Temba
  I wanna feel love
  Tulia tulia mami upate raha
  Oooh oooh
  Baki kwangu mami upate raha (babe girl)
  Tuliza malingo kidogo (babe girl)
  Tuliza na nyodo kidogo (babe girl)
  Wacha kubinua kichuguu (babe girl)
  Hata uende wapi kwako nimeshanasa
  Chorus
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Go down hata mara moja go down
  Go down hata mara moja jiweke down
  Babe Girl mami tulia tulia tulia
  Babe girl mami tulia tulia tulia

  Category : Tanzania Music Videos

  #chege#&#temba#ft#emmy#wimbo#go#down#[official#music#video]

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up