Chege ft.Ray C & Sanaipei Tande - Najiuliza [Official Music Video]

 • Chege latest song #Wafoo ► bit.ly/Wafoo
  Chege latest song #Runtown ► bit.ly/2wt5I6n
  Watch and share, brand new music video "Najiuliza" by Tanzania bongo flava artist Chege featuring Ray C and Sanaipei Tande.
  Directed by Kwetu Studios | Produced by Lizer Classic and Dunga.
  Song Lyrics:
  Najiuliza nimpende nani salima
  ili mmoja arudi anumbani salama
  naiiuliza numpende nani salima
  ili mmoja arudi anumbani salama
  Oleh oleleeh eh oleleeh
  oleh oleleeh oleleeh
  Oleh oleleeh eh oleleeh
  oleh oleleeh oleleeh
  Kinanda nitapiga uweze kutulia
  hata ukienda mbali uweze nisikia
  moyo wangu juu juu
  pressure inashuka na kupanda
  mama anataka wajukuu
  oh baby i love you
  sioni sababu ya kuishi mwenyewe
  bibi na babu ndo mfano uelewe
  Salima Salima Salama
  eh yerere yerere
  najiuliza nimpende nani Salima
  ili mmoja arudi nyumbani salama
  najiuliza nimpende nani salima
  ili mmoja arudi nyumbani salama
  Oleh oleleeh eh oleleeh
  oleh oleleeh oleleeh
  Oleh oleleeh eh oleleeh
  oleh oleleeh oleleeh
  wivu mapenzi jicho siwezi fumba
  kwako siwezi upepo umenikumba
  usije ukanyanyasa moyo
  mwenzako nimeumbwa na choyo
  sidanganywi kwa nyumba na toyo
  nakupa moyo wangu sikuachi
  mama moyo sikuachi
  roho sikuachi
  nakupa peke yako sikuachi
  mi ni wako sikuachi
  na wa peke yako sikuachi
  wa ubavu wako
  najiuliza nimpende nani salima
  ili mmoja arudi nyumbani salama
  najiuliza nimpende nani salima
  ili mmoja arudi nyumbani salama
  mapenzi usije changanya
  ukazuga ukanidanganya
  tunza roho yangu chochote nakupa
  nile peke yangu nibaki mifupa
  sitoweza kukuacha sitoweza
  sipigi nang'ata
  baby your my sweetie apple
  baby yooh
  nitakuja tuishi keko
  mwenzio ooh
  Salima Salima Salama
  eh yerere yerere
  najiuliza nimpende nani Salima
  ili mmoja arudi nyumbani salama
  najiuliza nimpende nani salima
  ili mmoja arudi nyumbani salama

  Category : Tanzania Music Videos

  #chege#ftray#c#&#sanaipei#tande#najiuliza#[official#music#video]

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up