MICHAEL Feat AMINI & AT - OFFICIAL VIDEO HD

  • Kwa mara ya kwanza Kwetu Studios imefanya kazi na msanii kutoka Sweden, Michael Osterberg na msanii kutoka THT, Amin. Ngoma inaitwa "TUNAFANYA MAMBO" yenye mahadhi ya HipHop na imefanywa na mmoja wa ma-producer bora kabisa Tanzania, C9 Kanjenje wa Kiri Records. Video imeongozwa na Msafiri Shabani na Kherry Mondoma, locations zikiwa Morocco, Masaki na soko la Msufini, Kinondoni Home Boy. Tofauti na video nyingine, video hii inaonesha uwezo wa ajabu wa AT (akichana/rap), Michael (M Sweden) akichana/rap Kishwahili na Amin akifunguka zaidi. Wapenzi wa burudani ya muziki wa Bongo, AT, Amin, Michael na Kwetu Studios furahieni zawadi ya Eid El Fitr kutoka kwa Michael, AT, Amin, C9, Kiri na Kwetu Studios.

    Category : Tanzania Music Videos

    #michael#feat#amini#&#at#official#video#hd

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up