MTUNGO WA FID Q NA ROSA REE WAISIMAMISHA MOROGORO.

  • Rapper Fid Q na Rose Ree wameendeleza kutoa vibe kwa wakazi wa Morogoro ambao ndio umekuwa mkoa wa kwanza kuonja vibe la Tigo Fiesta 2018 na hushuhudia perfomance iliyotukuka kutoka kwa wakali hao ambao wameshirikiana kwenye wimbo wa Ole Shiza.

    Category : Tanzania Music Videos

    #mtungo#wa#fid#q#na#rosa#ree#waisimamisha#morogoro

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up