THE DREAMERS_FURAHA_{OFFICIAL VIDEO}

  • lyrics
    majani yanapokua ya kijani ishara yake yanamanisha yamekomaa
    penzi letu wakilisema hadharani kila mmoja atatamani kutuona
    kila ndege jani linashingilia siko mpweke honey umenipatia
    hakika mi ni shababi wamapenzi
    siko tayari nikupoteze
    usije bashishi za kishenzi zikasabisha nikutose
    nachosema baki na mimi sema na mimi
    nitakupa chochote kile
    usije enda mbali na mimi tena mimi
    utanifanya nikufatilie
    bridge
    nashukuru umenikaribisha kwenye moyo wakonipumzike
    nami nakukaribisha kwenye moyo wangu usitoke
    chorus
    furashaaaaaaa nikukupenda wewe tuu
    furahaaaaaaaa tusichokane kwenye upendo huu
    verse 2
    pole pole usijali mama tutafika
    wangu shole shole ukiwa na mimi nafarijika
    mi ndo ngao yako nimekukinga kwa kifua
    nishakula kiapo mele yako hata mungu anajua
    nishakupenda sana minasema
    wala sihitaji tena kulalama
    sina mali si pedeshee roho yangu umeiutunza wewe
    nikiwa ndani mi na wee kama vile tuko peponi
    bridge
    nashukuru umenikaribisha kwenye moyo wako nipumzike
    na mi nakukaribisha kwenye moyo wangu usitoke
    chorus
    furahaaaaa nikukupenda wewe tuu
    furahaaaaaa tusichokane kwenye upendo huu

    Category : Tanzania Music Videos

    #the#dreamers#furaha#official#video

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up