Masauti - Sare (Official Video)

 • ‪Masauti “SARE” Official Music Video.‬
  Directed by : Nezzoh Montana/ NFinc.‬
  ‬Produced by Motif Di Don
  ‪Listen Now:
  CONNECT WITH MASAUTI:‬
  ‪Instagram - www.instagram.com/officialmas...
  ‪Facebook - www.facebook.com/Officialmasa...
  ‪Twitter - twitter.com/OfficialMasauti
  Special Thanks:
  Jalang'o.
  Tony Airo
  Halima Manga
  Patoe Kabz
  Lyrics
  Masautii ooooh kenyan boy
  Baby mi nawe sare(sare)sare sare
  Tunafanana sare(sare)sare sare
  Nakukabidhi moyo wangu, moyo wangu
  Mama unitunzie weh
  Malkia wa penzi langu, fahari yangu manyaku wasikunyakue eeeeh
  Wanijua mwenyewe utundu kitandani nilewe,mpaka chumbani sitaki uchelewe
  Ili tu niwe nawewe,
  oh my baby nichombeze zidisha penzi hadi nilewe taratibu basi nikoleze
  hadi nikolee
  umenifanya zuzu umenikoroga,ndio maana kwako mi siwezi toka
  kabisa nimeganda,nimeganda
  hata wakisema umeroga,kwako kamwe mi siwezi toka
  kabisa nimeganda,nimegana
  chorus
  Baby mi nawe sare(sare)sare sare
  Tunafanana sare(sare)sare sare
  Baby mi nawe sare(sare)sare sare
  Tunafanana sare(sare)sare sare
  Kila niamkapo sura yako ndio naitazama,
  Ukicheka shavuni dimpoo mtoto sauti kinanda
  Natamba na penzi lako kitaani mi navimbaga
  Washakunaku macho kodoo hawana hata la kusema oooh
  Yaani toto la kishua,unavyonizuzua ndio maana ukinipa mi sikinai
  ooh sikinai
  You bust my medulla,unavyosasambua ndio nikiwa nawe najidai
  eeh Najidai
  umenifanya zuzu umenikoroga,ndio maana kwako mi siwezi toka
  kabisa nimeganda,nimeganda
  hata wakisema umeroga,kwako kamwe mi siwezi toka
  kabisa nimeganda,nimegana
  chorus
  Baby mi nawe sare(sare)sare sare
  Tumefanana sare(sare)sare sare
  Baby mi nawe sare(sare)sare sare
  Tumefanana sare(sare)sare sare
  Ooooh eeeeh mi nawewe sare,sare sare
  Baby
  Tunafanana nawe sare sareb ooooooh baby
  chorus
  Baby mi nawe sare(sare)sare sare
  Tunafanana sare(sare)sare sare
  Baby mi nawe sare(sare)sare sare
  Tunafanana sare(sare)sare sare
  #MASAUTI #SARE #KENYANBOY #BEATSDON #MOTIF #NFINC

  Category : Kenya Music Videos

  #masauti#sare#official#video

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up