Dragon ft Pierre Liquid - kesho (Official music video)

 • "Kesho" is a Swahili words which means "tommorow" It is an inspiration song from talented East Africa musicians DRAGON
  Video directed by director S.A.M
  Audio produced by Bob Maneke/Eli piano
  Song written by Eric Mollel
  Here is the lyrics
  VERSE:::1
  Namshuku Mola kwa kunipa uzima, Afadhali leo kuliko ya jana.
  Alhamdulilah nitavuka si habba
  Kila kukicha yanazaliwa mapya,
  Najiona nipo hapa hapa,
  Namshukuru karima kanipa moyo wa subira. Nivumilie.
  Ndo mana namuomba sana nami anilinde,
  Ifike siku moja nami niringe,
  Story za kukosa nisizipige,
  Watoto na mamaa niwapatie mahitaji yani,
  Natamani sana nami niwe nazo,
  Nipunguze kubeti kufata nyayo,
  Natamani kesho ya mabadiliko nami niimbe wimbo wa furaha,
  CHORUS :::
  Nising like, u u u uu uu u u uuu
  Naitaman kesho,, u uuu uu uuu
  Nami nicheze like uu uu uu uu
  VERSE:::2
  Ooo natamani, Tanzania bila H.I.V
  Serikali isipoteze pesa ARV'S,
  Watoto wa mitaani wawe na wazazi wao,
  Wapewe na thamani waziishi ndoto zao,
  Na mwanangu nimwone kafika chuo kikuu,
  Mungu akipenda niwaone na wajukuu,
  And i hope, wawe na maisha boraa
  And i wnt stop, mpaka niiage dunia
  Natajia ifike siku nihudumiwe, bila kutoa kidogo
  Heshima nipatiwe kama zile za vigogo
  Ajira nipatiwe bila kuchongewa mchongo
  Nimechoshwa na misoto uoo..
  BRIDGE::
  Nataman sana niwe nazo,,
  Nipunguze kubeti kufata nyayo,
  Natamani kesho ya mabadiliko nami niimbe nyimbo ya furaha,
  CHORUS::
  Nising like,, uu uu uu uu
  Naitamani keshooo.
  Nami nicheze like,, uuu uu uu
  KIONJO::
  Upendo na amani kesho viendelee
  Aya ooo aya oo ayya ooo!!!
  Virithi mpaka kesho kwa vizazi vilee
  Aya ooo aya oo ayya ooo!!!
  Niwatunze baba na mama yoyoo.
  Ayya oo aya oo ayya ooo!!!
  Mtanzania mwenye nia nitaweza tuuu
  Ayya oo aya ooo ayya ooo!!
  *****†******Enjoy ****************
  For contacts:
  Instagram:
  @official_dragontz<56>Email:waleo2016@gmail.com

  Category : Tanzania Music Videos

  #dragon#ft#pierre#liquid#kesho#official#music#video

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up