Alvindo - Taka taka (official music video) SMS skiza 7630280 to 811

  • #Alvindo #TakaTaka #Ngomma
    TO PUT TAKA TAKA AS YOUR SKIZA TUNE SMS - SKIZA 7630280 TO 811
    FOR VERSE 1 SMS - SKIZA 7630281 TO 811
    FOR CHORUS SMS - SKIZA 7630282 TO 811
    LYRICS
    Unakataa kua dem Yangu Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa na nakujaa kwa mazishi yako kukula na Kukunywa na kukula nikucheke ukizikwa
    Unaringaga unaringa nini na sura mbaya ata kuliko mbuzi roho chafu kama ya shetani unadhaniaga ww ni nani. Takata taka taka mapepo zinakufwata sijui ata ni nini niliona kwako ata ningejua ningekatia dadako
    Ulinikataa juu ulijua ntakukataa na kama hungenikataa mi ningekukataa nilingoja tu we ndo unikatae 1st cos am a gentleman and ladies go 1st.
    But let me tell u something young woman apana wekea wanaume roho ya chuma ukikatiwa joh kubali kukatika ama ukizeeka ndo maringo itaisha bure kabisa na ukwende kabisa na utume beshte yako akujie izo nguo ulibakisha*2
    Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana hata natamaningi hatungewai patana unaishi maisha fake na umejaa tu madrama ata nashukungu uliwachiangwa laana mara ati leo unaitwa natasha kesho umechange jina unaitwa soni mara uko single kesho ukona bwana mara unaishi ronga mara unaishi doni
    I even suspected ur a criminal na kama we ndo dem acha nikae hivo staki ata mwingine acha nikufe single umeniacha na chronic bachelor syndrome
    SONG WRITTEN AND PERFORMED BY ALVIN (ALVINDO)
    A PROPERTY OF FASTCASH MUSIC GROUP
    PRODUCED BY MAGIX ENGA
    EXECUTIVE PRODUCER - KRG THE DON
    DIRECTED BY DESKA TORRES & KRG THE DON
    #TakaTaka #Boychild #Anthem

    Category : Kenya Music Videos

    #alvindo#taka#official#music#video#sms#skiza#7630280#811

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up