ALPHAJIRI - MY BAE ( OFFICIAL VIDEO )

 • Written and Performed by Alphajiri
  Arranged and Produced by Ihaji
  Additional BGVs by Chinyavu Frank
  Video Directed by Dolls
  #Alphajiri #MyBae
  Connect With Alphajiri on
  Follow Alphajiri on:
  Twitter : twitter.com/alphajirim
  Facebook : www.facebook.com/alphajirimuziki
  Instagram : www.instagram.com/alphajiri
  Email bookalphajiri@gmail.com for bookings
  ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.
  LYRICS
  VERSE ONE
  Navyoridhika nikikuona napokuona utamu wa moyo
  kama maradhi mi napona nikikuona umekuchagua moyo
  maneno yangu uliyaamini hukuenda popote uliridhia sawa
  hukusikizaga wahuni ukawaacha hao wote ukaniona sawa
  PRECHORUS
  Baby lemme love you ( love you )
  I cannot be without you ( without you )
  hili pete ishara i love you( love you )
  uwe na jina langu
  CHORUS
  my bae *3 (ushaniteka teka moyo wangu )
  my bae *3 ( na ni furaha wewe kuwa wangu )baibee * 2
  Ashajulikana ashapatikana ashajulikana yeye ndio wangu ashajulikana
  VERSE TWO
  Mimi nawe ndio twajua kile tunacho ndani
  So baby come and give me your love mi nishakueka moyoni
  wazazi wangu wako waone nikikuchukua (chukua )
  ukinijia wakupambie kwa maua
  machozi ya furaha laiti ungejua (ungejua )
  twakata keki leo twajishaua
  PRECHORUS
  Baby lemme love you ( love you )
  I cannot be without you ( without you )
  hili pete ishara i love you( love you )
  uwe na jina langu
  CHORUS
  my bae *3 (ushaniteka teka moyo wangu )
  my bae *3 ( na ni furaha wewe kuwa wangu )baibee * 2
  my bae *3 (ushaniteka teka moyo wangu )
  my bae *3 ( na ni furaha wewe kuwa wangu )baibee * 2
  Ashajulikana ashapatikana ashajulikana yeye ndio wangu ashajulikana
  Ssaru- Weka
  Alphajiri performing my Bae

  Category : Kenya Music Videos

  #alphajiri#my#bae#official#video

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up