HISTORIA YA BONGO FLEVA |MAMBO 10 USIYOFAHAMU

  • #bongofleva #Tanzania
    Katika nchi nyingi za Kiafrika, miendendo ya kitamaduni kupitia densi na muziki hubadilika sana kutoka kizazi kwenda kingine. Nchini Tanzania, Bongo Flava iliibuka kama muziki wa Kiswahili na mchanganyiko wa aina ya muziki kama vile rap, hip-hop, reggae, na R&B.
    Neno Bongo fleva linatokana na neno la Kiswahili ubongo ila neno Bongo ndio jina la utani la Dar es salaam likimaanisha kuwa unahitaji akili ili kuishi mjini Dar es salaam. Leo hii neno bongo fleva hurejea ladha ya mziki wa waswahili, mziki ambao unabamba afrika mashariki yote na nyota wao kama Ali Kiba, Diamond platnumz,Harmonize, Lady Jay dee, Jux, Vanessa mdee, Dogo Janja, Marioo na wengine kibao
    Episode 94: BONGO FLEVA
    FOLLOW US

    Category : Tanzania Music Videos

    #historia#ya#bongo#fleva#mambo#10#usiyofahamu

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up