Diamond Afunguka BBC "Hata nikiacha Muziki nitaishi vizuri,Amapiano Haiui Bongofleva"

  • Diamond Afunguka BBC Hata Nikiacha Muziki nitaishi Vizuri,Amapiano Haiui Bongofleva Rais wa WCB #wasafi na mmiliki wa #wasafimedia Nyota wa Bongofleva #diamondplatnumz Amefunguka kwenye Interview hii na BBC kwamba Hata akiacha Muziki leo Hatoishi kwa shida kutokana na jinsi alivyowekeza kidijitali pia Amaeongeza Kwamba Muziki wa Amapiano wa Nchini South Africa Hauui Bingofleva ya Tanzania Tazama hapa #grammedia

    Category : South Africa Music Videos

    #diamond#afunguka#bbc#quot#hata#nikiacha#muziki#nitaishi#vizuri#amapiano#haiui#bongofleva

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up