BASHANGAZE(Gospel Amapiano)- Fessy × Davies × Elisha × Jibuni Simba

  • Tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwakutuwezesha kufanikiwa kutoa Video Yetu ya Bashangaze kwani yapo mambo mengi ambayo Mungu ametutendea na anazidi kutenda ndiomaana tukaamua kuimba Bashangaze wapo maadui hawa kutamani tufikie hapa lakini Mungu amewashangaza ndugu mpendwa karibu sana Ku support video yetu Ku share na comment pia usisahau kubonyeza aramaya

    Category : South Africa Music Videos

    #bashangaze#gospel#amapiano#fessy#times#davies#elisha#jibuni#simba

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up