Nehemiah Edward - Aibu "Amapiano" (Audio)

  • Aibu ni wimbo unaoelezea mambo yanayotokea katika jamii, Mfano unaweza ukawa unafanya mambo yako na yanafanikiwa ila ikatokea mtu akakuonea wivu na kuanza kukufanyia visa mbalimbali ilimradi tu ufeli au kuyumba katika maisha, Sasa ukiwa na MUNGU huwa anapangua plan na fitina zao na kukuimarisha siku hata siku, Hao adui zako wakishaona MUNGU amekunusuru katikati ya mitego yao wanaona AIBU

    Category : South Africa Music Videos

    #nehemiah#edward#aibu#quot#amapiano#audio

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up