Balaa la TID mazoezini kuelekea shoo ya 'Bongo Flava Honors' Sugu ashindwa kujizuia kucheza

  • Msanii wa muziki wa HipHop, Joseph Mbilinyi (Sugu) anaenda kufanya muendelezo wa tamasha la 'Bongo Flava Honors' ikiwa safari hii inaenda kumuheshimisha mkongwe wa bongo flava, TID
    Akifanya mahojiano na Mwananchi leo februari 22, 2023 Sugu alisema tamasha hilo litakuwa litasimama mwezi ujao kwa lengo la kuuheshimu mwezi mtukufu wa ramadhani pamoja na kwaresma.
    Sugu aliendelea kusema kuwa watu waje kwa wingi kwani msanii TID ana mambo mengi yakuwaonyesha watanzania lakini pia zoezi la kuwaheshimisha wakongwe hao halitosimama.

    Category : Tanzania Music Videos

    #balaa#la#tid#mazoezini#kuelekea#shoo#ya#039#bongo#flava#honors#sugu#ashindwa#kujizuia#kucheza

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up