AMAPIANO - WEWE NI BWANA - KANISA "A" - TAG GCC Mburahati

  • TAG GCC Mburahati imeweka utaratibu wa kugawa washirika wake katika mitaa (Fellowships) inayounda KANISA 'A' na KANISA 'B'.
    Kila mwisho wa mwaka hufanya Ibada maalumu zinazojumuisha uimbaji wa kwaya, Sifa na kuabudu, maigizo, ngonjera, utenzi na shamra shamra nyingine nyingi zinazochochea UNDUGU na USHIRIKA katika kanisa la mahali pamoja na jamii inayozunguka kanisa hili.
    AMAPIANO-WEWE NI BWANA ni moja kati ya wimbo ulioandaliwa na KANISA "A" katika MWEZI WA USHIRIKA - OCT 2022.
    Furahia na barikiwa!
    Shot by Smartphone
    Produced by @symorebeatztz6664

    Category : South Africa Music Videos

    #amapiano#wewe#ni#bwana#kanisa#quot#a#tag#gcc#mburahati

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up