ALIKIBA achagua Nyimbo za Diamond,Harmonize,Zuchu,Mbosso kama Nyimbo kali za Bongo Fleva

  • Staa wa muziki wa Bongo fleva ametengeneza Playlist yake ya Bongo Fleva kwenye #Origins ya #AppleMusic ambapo ndani yake amezitaja Ngoma baadhi kutoka kwa Mastaa wa muziki wa #WCB @diamondplatnumz @mbosso_ na @officialzuchu
    .
    Kwa upande wa #DiamondPlatnumz ngoma iliyoingia katika Playlist hiyo ni #AfricanBeauty akiwa na #Omerion , #ZUCHU ni #FIRE , #MBOSSO ni (#ForYourLove ft #zuchu, #HuyuHapa)
    .
    Mastaa wengine walio kwenye List hiyo ni @harmonize_tz , @rayvanny , @officialnandy , @marioo_tz , @kayumbaasisoe , @darassacmg255 N.k
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram.com/rickmediatz/?hl=en
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook web.facebook.com/rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Alikiba #Diamondplatnumz

    Category : Tanzania Music Videos

    #alikiba#achagua#nyimbo#za#diamond#harmonize#zuchu#mbosso#kama#kali#bongo#fleva

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up