Darassa ft Ben Pol - Muziki ( Official Music Video )

 • Watch Darassa's latest music video Hasara Roho, click here -- bit.ly/HasaraRoho_Video
  Get it from iTunes: - goo.gl/75DuZs
  Spotify: - goo.gl/aEV4pe
  Darassa and Ben Pol release MUZIKI, The song is all about Music and Life but also is a party song as produced by Three Upper Class Tanzanian Different's Producers Mr. Vs, Abbah and Mr T Touch . This is the second collaboration of Darassa and Ben Pol after four years Since "SIKATI TAMAA"
  Darassa Other Video Songs:
  Muziki: goo.gl/IEJSG9
  Too Much: goo.gl/zyynXL
  Kama Utanipenda: goo.gl/MOhOYx
  Heya Haye: goo.gl/kywYLi
  Sikati Tamaa: goo.gl/478PZ9
  Tunaishi: goo.gl/xgfsPB
  Nishike Mkono: goo.gl/ynbixu
  Sio Mbaya: goo.gl/BK82mg
  The Music video was shot in Tanzania as Directed By Hanscana
  Follow Me on:
  Instagram: www.instagram.com/darassacmg
  Twitter: www.twitter.com/darassa_cmg
  Facebook: www.facebook.com/Darassacmg
  Song Lyrics:
  Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite Mbwana Samatta
  Wanaota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia
  An let me make one thing clear blaa blaa sitaki kusikia.
  So simba so chui so mamba ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga ni kazi juu ya kazi yaan bambaa tu bambaa
  Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa sinzia fegi uchome kibanda Kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya wanga
  Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga
  Maisha na muziki acha maneno weka muziki..., Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
  (Yeeeeah)
  Safari na muziki acha maneno weka muziki
  (Yeeeah)
  kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
  Bambataaa shika kamataa
  Pumba chakacha napokaa mchiz nshadataa nshadataaah
  Unataka kukimbia na hauna brekii what do you expect???
  Bongo Congo kwa thabo mbeki cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make.
  Watch urself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues.
  Huna mchuzi no excuse, Maisha yetu ya kila siku kama vile movie
  Vitu vingine havitakag ujuaj utajikuta unatandikia watu jamvi
  Kusubiria embe chini ya mnazi, Kumuelewesha chizi utajipa kazi.
  Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba.
  Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga.
  (Uwiiiiiii)
  Rpt chorus...
  Wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top
  I that I told you that we don't stop we don't stop..."walker"

  Category : Kenya Music Videos

  #darassa#ft#ben#pol#muziki#official#music#video

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up