IBRAHIM URASSA - AMAPIANO

  • Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
    Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
    INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
    TIKTOK: UNITALENTSHOW
    PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
    #kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04

    Category : South Africa Music Videos

    #ibrahim#urassa#amapiano

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up