Mchina Mweusi - Khaligraph Unawashwa (bonus track)

  • singeli ya kwanzadiss track kuhusu msanii wa kenya aliewapa challenge wasanii wa hip hop bongo. kwakuwa hip hop ni mziki ambao unaweza kupita katika beat yeyote Mchina Mweusi nimeamua kumchana OG kupitia singeli kama anaweza na yeye ajibu

    Category : Tanzania Music Videos

    #mchina#mweusi#khaligraph#unawashwa#bonus#track

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up