Mwandei Feat. Dr. John - Tiriri (Official Video)

  • VIDEO - Tiriri ni wimbo uloimbwa na msani MWANDEI wenye maadhi ya pwani ambao umeboreshwa kutoka kwenye ngoma ya asili iitwayo BAIKOKO inayopendwa sana kwa sasa duniani. Wimbo umerekodiwa kwenye studio za AKILI STUDIO chini mtayarishaji DANNY na kurekodiwa na kampuni ya CHIEE MEDIA zote za Jijini TANGA

    Category : Tanzania Music Videos

    #Mwandei#Dr. John#Tiriri#Tanzania#Tanga

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up